PARE DICTIONARY

pare dictionary

Jakaya =Za Nyumbani
Kikwete = Asiyejali
Namnani Havae = Vipi Aisee
Uitwanga nani? = Unaitwa Nani?
Watonga wapi = Unaenda wapi
Nigavie Havae = Nigawie Aisee(Jamaa)
Nienda kukodhoa kidogo = Naenda kukojoa Kidogo
Harika!!! = Kuonesha Mshangao!
M'bwange = Mwanamume (Mvulana)
M'bora = Mwanamke (Msichana) Shiga Du! = acha tu
Iki..=sasa N'zhoo = Njoo
Ja kaa= za nyumbani, hakuna neno kikwete hata kidogo
Avae= jamaa! buddy,
Namnani avae= namna gani jamaa! au mshikaji
Uitangwa ani? Unaitwa nani
Watonga hii= umekwenda wapi,
utonga hii= unakwenda wapi
, wetongie hii= ulikwenda wapi
Kodhoa= kojoa

Shigha du= wee acha tu! Mla'mua = shemeji lakini ni wakiume, mfano nikioa dada yake The boss mimi ni mlaumua wake na yeye ni mlamua wangu. Haitumiki kwa mwanamke kwa namna yoyote ile. ukisikia mtu anasema fulani ni mlamua ujue ni wa kiume tu.
Ambiere= baba mkwe au mkwe. mfano Mbimbinho akioa kabinti kangu yeye ni ambiere na mimi ni ambiere
Mkembe= mlozi mwenzako. The Boss na Bambinho wakioa nyumba moja wanaitana mkembe
Kiviere= ni mama mkwe, naye anamwita aliyeoa kiviere. Hili linatumiwa piwa na wasambaa au kule kwetu bonde, kivyee
Nakunda= nimependa, ndiyo maana kuna majina ya Nakundaeli yaani kampenda mungu
Nkundiwe= niliyependwa
Haika= ahsante, haikaeli= ahsante mungu,
Lukundo= upendo
Navonewa= nimeona, navona hedi= nimeona pazuri
Majina ya kipare ukiona lina eli mwisho ujue lina maana inayohusishwa na mungu. Pendaeli= penda mungu Chedieli = kizuri cha mungu, sifueli= msifuni mungu. Chedi ni kizuri, wedi ni mzuri hasa kwa binadamu
Nakukunda kweri= nimekupenda sana, tugaye kadori= tuongee kidogo, nienda nikuvwire kindu= nataka kukuambia jambo, kindu chedi= jambo zuri, kindu cha lukundo= kitu cha upendo

No comments:

Post a Comment

Tupatie maoni yako sasa!