PHOTOS

images

licha yakuwepo kwa usafiri wa magari wanakijiji wa ndungu hutumia Punda katika kubebea mizigo yao hii ni kutokana na kuepuka gharama za usafirishaji kwa njia ya Gari

mwana mke huyu anatuliza mpunga

Shule ya msingi NDUNGU

wanakijiji wa NDUNGU hujishughulisha pia na shughuli za Uvuvi

Bwawa hili hutumiwa na wana kijiji wa NDUNGU katika shughuli zao za uvuvi na maendeleo kwa ujumla

No comments:

Post a Comment

Tupatie maoni yako sasa!